Je, unahitaji kubadilisha mpango wako? Hakuna tatizo!
Fuata hatua zifuatazo ili kubadilisha mpango wako:
- Ghairi usajili wako wa sasa.
- Subiri hadi mwisho wa kipindi cha malipo wa usajili wako wa sasa.
- Lipia upya usajili wako kulingana na aina ya vifurushi unavyopendelea.
Je, unatatizika kubadilisha mipango? Wasiliana nasi upate usaidizi!